Letema POS BeiLipia upyaAnza sasa

Anza kutumia mfumo wako wa biashara

Jaza taarifa, lipia kwa simu, na mfumo wako utaandaliwa kiotomatiki - bila kusubiri mtu. Kwa kawaida inachukua dakika chache baada ya malipo.

Unaweza kulipa kwa STK (utapata ombi kwenye simu) au kwa Lipa Namba (utaona namba za kulipia kwenye ukurasa unaofuata).